Ezekiel 11:20

20 aKisha watafuata amri zangu na kuwa waangalifu kutii sheria zangu. Watakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wao.
Copyright information for SwhNEN